Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akihutubia wageni waalikwa hawapo pichani wakati wa hafla ya kuzindua Bodi mpya ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wa pili kushoto akipokea zawadi ya picha za Tingatinga kutoka kwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa Prof. Penina Mlama wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Basata.Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Prof. Hermans Mwansoko na wa mwisho kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Basata Bwana Gedfrey Mngereza.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara ( waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Basata mara baada ya uzinduzi wa Bodi hiyo jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa BASATA alipo kuwa mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya BASATA jijini Dar es Salaam.
Mzee Jangala mwenye Kibaraghashia na wadau wengine wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Basata jijini Dar es Salaam
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...