Waziri wa Ushirikiano wa Kimataifa wa Uingereza, Justine Greening (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Jumanne Magembe wakati wa ziara yake Makao Makuu ya Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, ambapo walizungumzia tatizo la maji na jinsi ya kusaidia kulitatua.
Mkurugenzi Mtendaji wa TBL, Goetzche (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Maji, Profesa Maghembe
Goetzche akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Bashir Mrindoko.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...