Hivi Ni kweli hili shimo Linawafurahisha?Tena lipo Soko kuu Manispaa
ya Lindi,Nalo linahitaji tenda Bodi kwa ajili ya kuliziba.....
Nani
anawajibika Tanroads,TTCL au Manispaa?Limeshaleta ajali za pikipiki
baiskeli
Juzi tu Mbunge mstaafu aliuvaa mkenge hapo ila gari lake
mmmmmhhh.... Ni njia kuu ya kwenda Hospital ya mkoa, Zimamoto na kwenye
Majumba ya wakubwa wa wilaya na mkoa...Je mpaka tuseme ???
Picha na Abdulaziz Video Lindi
Hapa mpaka itokee ajali itakayo sababisha kifo, ndio wahusika wataamka kutoka usingizini.
ReplyDeleteTanzania ya viongozi wavaa suti.
ReplyDelete