Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akisalimiana na wafanyakazi wa mradi wa bomba la gesi huko Kilwa.
Mtaalamu mwelekezi kutoka katika kampuni ya Worley Parsons, Pieter Erasmus akitoa maelezo kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na M adini, Eliakim Maswi jinsi uunganishaji wa bomba la gesi unavyofanyika.
Wafanyakazi wakiendelea na kazi ya uchomeaji wa bomba la gesi.
Kazi ya uunganishaji wa bomba la gesi ikiendelea
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi akizungumza na waandishi wa habari juu ya hatua iliyofikiwa ya ujenzi wa bomba la gesi ikiwa ni pamoja na ukamilishwaji wake.
Picha na Greyson Mwase wa Wizara ya Nishati na Madini
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...