Taarifa inatolewa kuwa Mheshimiwa Zitto Kabwe pamoja na Dk Kitila Mkumbo watakutana na wahariri na waandishi wa habari leo Jumapili tarehe 24 Novemba 2013. 

Watatumia nafasi hii kutoa maoni na msimamo wao kuhusu maamuzi ya Kamati Kuu ya CHADEMA ya hivi karibuni. 
Mkutano huu na waandishi wa habari utafanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 5.00 asubuhi.



Imetolewa na Ofisi ya Mbunge Zitto Kabwe, 
Dar es Salaam.
Jumamosi, 23 Novemba 2013. 
Dar es Salaam. 



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ila tafadhalini sana angalieni musichafue hali ya hewa wala kujeruhi hisia za watu.


    ReplyDelete
  2. Mm mdudu kakakuona nawasubili kwa hamu kubwa ili nijue ni nn hasa kilichotokea maana mm binafsi nimechanganyikiwa na kuingiwa na hofu kwa jinsi mambo yanavyokwenda huko nyumbani,

    ReplyDelete
  3. Mheshimiwa Zitto I pray you get this message. Whatever happens don't, repeat don't resign from the party. LET THEM EXPEL YOU
    Then the wrath of the people will rip through them like the whirlwnd

    ReplyDelete
  4. Some people who are given notice to leave UKerewe, circumvent the order by finding and marrying a citizen, do you get what I am trying to tell you here? Use the same tactic.
    Sorry, just saying so in jest

    ReplyDelete
  5. zitto kabwe is a TRAITOR

    ReplyDelete
  6. NIngekuza Zitto ningekaaa kimya kama sipo na kuendelea na shughuli za kibunge na chama na kuwa mtii na mwaminifu kwa wakuu wangu wa cdm kama halijatokea halafu nione.

    ReplyDelete
  7. Zito unakwenda kujianika tu, watu wana 'NONDO' zako kwa sana unasubiriwa tu uingie choo cha kike! Nakushauri; 1.Acha kujikuza na kujiona unajua kila kitu 2.Pesa ambazo ulizonazo(hazijulikani chanzo chake) zisikufanye uwe na kiburi kiasi hicho. 3. Punguza uroho wa madaraka na uhujumu kwa viongozi wako.

    ReplyDelete
  8. CDM+ZZK (Nimevurugwa)
    ZZK+CDM (Majanga)

    ReplyDelete
  9. Shida ya binadamu akijua kidogo tu basi hudhani anajua kila kitu. Kuongea sana sio kujua kwani walio kimya unadhani hawajui!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...