Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Smart Banking Solutions (SBS) Bw. Gustav
Vermaas (kushoto) akipeana mkono na Mwakilishi Mkuu wa UnionPay International
kanda ya Afrika na Mashariki na Kati, Li Zhixian, kama ishara ya maridhiano ya mkataba
wa ushirikiano kati ya makampuni yao itakayowezesha kadi za B-PESA kukubalika katika
vituo vyote vya UnionPay duniani kote.
Mwakilishi
Mkuu wa UnionPay International kanda ya Afrika na Mashariki na Kati, Li Zhixian
(kulia) akisaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya Smart Banking Solutions
(SBS) kupitia Kadi yake ya B-PESA, ambayo itatoa fursa kwa huduma hii mpya ya
malipo ya kabla ya kutumia kadi ya kielektroniki la daraja la juu inayotumia
mfumo wa kibenki, kufanyika katika wigo mpana ndani na nje ya Tanzania. Kushoto
ni Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya SBS Bw. Gustav Vermaas.
Mkurugenzi
Mtendaji wa kampuni ya Smart Banking Solutions (SBS) Bw. Gustav
Vermaas akisaini mkataba wa ushirikiano na kampuni ya UnionPay International ya
China, makubaliano hayo itatoa fursa kwa huduma mpya ya malipo ya kabla ya
kutumia kadi ya B-PESA -ya kielektroniki la daraja la juu inayotumia mfumo wa
kibenki- kufanyika katika wigo mpana ndani na nje ya Tanzania. Kulia ni Mwakilishi
Mkuu wa UnionPay International kanda ya Afrika na Mashariki na Kati, Li Zhixian.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...