Balozi wa Tanzania nchini Kenya Mhe. Batilda Salha Buriani akitia sahihi kitabu cha maomboloze ya Rais wa Kwanza mweusi wa Africa ya Kusini Mzee Nelson Mandela katika makazi ya Balozi wa Afrika ya Kusini hapa Nairobi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mbona Mhe. kama amekwenda kupose? Aliyepiga picha naye angesubiri kutunza heshma ya tukio!! Hawa wana balozi wetu vipi?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...