Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Baadhi ya wafanyabiashara na wawekezaji waliojitolea kusaidia kuchangia sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar kutimia Nusu Karne hapo Serena Hoteli Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa katika picha ya pamoja na wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Nchini uturuki kwenye chakula cha usiku kilichofanyika Serena Hoteli Mjini Dar es salaam.
Picha na Hassan Issa wa – OMPR – ZNZ.


.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...