Mtu mmoja amekufa na wengine 27 kujeruhiwa baada ya basi la Hood Limited lililokuwa likitokea Mbeya kwenda Arusha kupata ajali eneo la Melela Mvomero, Mkoani Morogoro.
Wakazi wakishuhudia basi la kampuni ya Hood lililopinduka jioni hii maeneo ya Doma,Morogoro. 

Upande wa chini wa basi la Hood 

Wakazi wa eneo la Doma nje kidogo ya mji wa Morogoro wakitafakari tukio kwa huzuni. Picha na Junior Matukuta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Sujuhi kama waliacha kwenda mwendo kasi; miaka ya nyuma ili gari lilikuwa linaongoza kwa mwendo kasi; nakumbuka lilikuwa gumzo enzi nasoma Mzumbe; utasikia unatoka Arusha saa fulani unafika Mbeya saa fulani mwendo mdundo...kama hawajaacha hiyo tabia basi rushwa itatuua; maana siamini kama mimi mtu ambaye sijawahi kulipanda nalijua afu traffic wawe hawajuhi hii sifa.

    ReplyDelete
  2. Tatizo madeleva wanalewa posho za kuwah kufka

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...