Home
Unlabelled
bei ya madafu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kinachoifanya RIAL ya Oman na Kuwait Dinar(~Tshs5,600 hivi) kuwa na nguvu kuliko dola ya Kimarekani ni nini?(Any Ideas?).Linaweza kuwa suala mafuta na gesi(Oil/gas) lakini hata QATAR,UAE,SAUDIA mafuta yapo na gesi ipo.Hilo moja.La pili, kwanini pesa(currency) yenye nguvu sana kama DINAR ya KUWAIT isitumike duniani kote(kwa manunuzi) kama ilivyo kwa dola ya kimarekani kwa sasa?Mwisho.
ReplyDeleteDavid V
Haya mabango yanaandikwa tu hela nyengine thamani zake zilishabadilika siku nyingi na wala haya maduka ya hela hayana hizo currency.Mfano nlizunguka maduka yote mwaka2011 sikupata Swedish Kroner.Na hiyo bei iliyopo hapo ni ya zaidi ya miaka5 SEK imepanda kinoma now,kama ingekua hizo rate zao zinafanya kazi mm ningefanya biashara ya kunua SEK hapo na kwenda kuuza mbele.
ReplyDelete