WAFANYAKAZI wa Bodi ya Chakula, dawa na vipodozi Zanzibar (ZFDB) wakiwa katika harakati za kuangamiza vyakula vilivyomaliza muda wake wa matumizi pamoja na dawa zilizokua hazina kiwango kwa matumizi ya Binaadamu vilivyokamatwa katika maduka mbali mbali pamoja na vingene katika bandari ya Zanzibar vikiingizwa Nchini. Vyenye zaidi ya tani 40 viliangamizwa katika eneo la Kibele Wilaya ya Kati Unguja.(Picha na Haroub Hussein).
Home
Unlabelled
Bodi ya Chakula, dawa na vipodozi Zanzibar yateketeza bidhaa zilizoisha muda wake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.jpg)
.jpg)
.jpg)
hongera viongozi husika Zanzibar
ReplyDeletehaya ndiyo mambo muhimu ya kuigwa na viongozi wa afya bara.
Madawa feki yaliyopita na muda ya wachina,wahindi na wanaigeria hupatikana hospital,phamarcy madukani,uwepo msako wa kudumu.
kwanini wasiteketeze meno ya tembo na madawa ya kulevya watanzania bwana mwisho
ReplyDelete