Inline images 1
Andre Villas Boas (pichani) kafukuzwa kazi baada ya timu yake  ya Tottenham  kupigwa  nyumbani kwao White Hart Lane bao 5 kwa mtungi na Bwawa Maini  amabo walikuwa kama mbwa mwitu.  Mreno huyu leo bila shaka atatafuta karatasi na kalamu na kuanza kutafuta kazi.

MSIMAMO WA LIGI KUU YA UINGEREZA HADI HIVI SASA...


PositionTeamPlayedGoalDifferencePoints
1Arsenal161635
2Liverpool162133
3Chelsea161433
4Man City162932
5Everton161231
6Newcastle16-127
7Tottenham16-627
8Man Utd16625
9Southampton16524
10Swansea16120
11Aston Villa16-519
12Hull16-619
13Stoke16-518
14Norwich16-1418
15Cardiff16-1017
16West Brom16-515
17West Ham16-614
18Crystal Palace16-1313
19Fulham16-1513
20Sunderland16-189

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Amebwagwa baada ya kutoa siri kuwa wachezaji hakununua yeye!!

    ReplyDelete
  2. naona hatimaye ankal umeibuka na bwawa la main maana ulikuwa kimya

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...