Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Rais
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika kikao cha kujadili
utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013
na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,katika Ukumbi wa
Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(wa pili kulia) Katibu Mkuu Kiongozi
Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein, (katikati) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya
Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika kikao cha kujadili
utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013
na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,katika Ukumbi wa
Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Ofisi ya Rais, na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,wakiwa katika cha kujadili
utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013
na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,chini ya Mwenyekiti wake
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed
Shein,(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Picha na Ramadhan Othman Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...