Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais - MAZINGIRA,Dkt. Teresia Huviza akizungumza machache wakati alipokuwa Mgeni Rasmi katika hafla ya Dawati ni Elimu iliyoandaliwa na Meya wa Manispaa ya Ilala,Mh. Jerry Silaa katika Ukumbi wa Kibo,Hoteli ya Hyatt Recency jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Malengo ya Kampeni hiyo ni kukusanya fedha kiasi cha zaidi ya Sh. Bil. 4.

Meya wa Manispaa ya Ilala,Mh. Jerry Silaa ambaye ndio Mratibu wa Kampeni ya Dawati ni Elimu akitoka hotuba yake wakati wa hafla hiyo iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Kibo,Hoteli ya Hyatt Recency jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...