Natasha Muhidin akiwa katika kamnuso kake ka kusherehekea miaka mitano ya Hepi Besdei yake ya Kuzaliwa huko Upanga mtaa wa Mfaume jijini Dar es salaam. Baba yake anamtakia kila la kheri katika safari ndefu ya maisha, azingatie elimu na nidhamu kwa kila mtu, mkubwa na mdogo.
I love you Natasha - says Dad
Natasha akiwa na wenzie wakati wa kamnuso kake
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...