Aliyekuwa Miss Tanzania 1999, ambaye pia ni Mtaalam wa Mahusiano na Mawasiliano wa Umoja wa Mataifa (UN) Tanzania Hoyce Temu akipozi mara baada ya kulamba Nondozzz ya shahada ya Uzamili wa Mawasiliano ya Umma katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine jijini Mwanza.
Hoyce Temu akipata Ukodak na Mdau wa tasnia ya habari nchini.
Hoyce Temu katika pozi na marafiki zake mara baada ya kulamba Nondozz.





Hongera lulu na christina pia
ReplyDeleteHongera saaana Hoyce!
ReplyDeleteAt last na wewe umepata kinacho stahili @ St. Augustine University baada ya kubaniwa miaka ile ukisoma ya Umiss wako na UDSM !
Eti miaka ile ya 1999 na 2000 tunaambia na UDSM Dada yetu mwenye uwezo wa juu tu kiuelewa kama tunavyoona vitu vyake Kitaaluma ya kuwa HANA UWEZO KIMASOMO!
ReplyDeleteHivi mtu Kilaza anaweza kufanya mambo kama anayo yafanya Hoyce Temu (Mfano MIMI NA TANZANIA) tena kabla ya hii Digrii?
Elimu ya Tanzania kuanzia Chini hadi Juu ilishaanza kuwa na walakini miaka mingi nyuma!
Hongera Ms Temu, I admire your TV programme. Unapigania haki za watu, you are a champion to me.
ReplyDeleteCongrats again.
Mdau - Sydney
Watanzania wanakazana kujaza mavyeti hali ya kuwa elimu zao hawajazoitumia hata kidogo. Kwa hakika ningeweza kutumia hata asilimia 20 ya elimu yangu ndogo ya digrii,bila shaka ningeweza kutatua matratizo ya wananchi wa eneo langu kwa asilimia 50. Sasa nimetoa ajira kwa wananchi 200 wa eneo langu na wengine 33 kutoka maeneo mbaimbali. Kwa muda wa mwaka mmoja tu tangu nimalize digrii mzumbe ya uhasibu na fedha.Bado mambo mengi ya walimu wangu sijayatumia.Nawaombeni ndugu zangu tusome kwa lengo la kutatua matatizo ya jamii zetu.
ReplyDeleteMimi namjua Hoyce kuanzia akiwa Arusha Sekondari... Ni mtundu wa kupindukia! Alipata degree yake ya kwanza Arizona State University ya Journalism and Mass Communications in 2006,na Akapata Post Graduate degree chuo cha diplomasia katika mambo ya Foreign Relations Management mwaka 2011 na juzi amepata masters yake pale Saint Augustine University ya Mass Communications. Hii inamfanya anakuwa Miss Tanzania wa kwanza msomi zaidi akifuatiwa na Shose Sinare.
ReplyDeletewewe umekurupuka hakusoma arizona alikuwa iowa.
ReplyDeleteAlianza Iowa - Wartburg College for two years, akahamia Arizona State Univ.
ReplyDelete