Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Orion Lublicants, Beny Maregesi akizunumza na wageni waalikwa(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kuchaguliwa kwa kampuni hiyo kuwa wasambazaji wa Oil za Caltex nchini Tanzania.Hafla hiyo ilifanyika DAR ES Salaam mwishoni mwa wiki.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI

Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi akizunumza na wagwni waalikwa(hawapo pichani) wakati wa hafla ya kuchaguliwa kwa kampuni hiyo kuwa wasambazaji wa Oil za Caltex nchini Tanzania.Hafla hiyo ilifanyika DAR ES Salaam mwishoni mwa wiki.
BOFYA HAPA KWA HABARI KAMILI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...