Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba kitafanya uzinduzi wa album yake nzuri sana yaZAWADI YA KRISSMAS, siku ya Jumapili tar. 22/12/2013 kuanzia saa 8:00 mchana mpaka saa 2:00 usiku katika ukumbi wa LINA'S CLUB uliopo mjini BUKOBA.
Kiingilio katika uzinduzi huo kitakuwa kwa mtu mmoja (Single Ticket ni Tsh 10,000/= (Family Size) Familia ya watu 6 itakuwa ni Tsh 50,000/= wakati watoto itakuwa ni Ts 5,000/= Karibuni sana.



Familia ya watu sita utaipata wapi kwa sasa. Kwa sasa familia nyingi ni za watu wanne; baba , mama na watoto wawili. Au Bukoba bado mwapigana katerero na kuzaa sana???
ReplyDelete