Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Uchujaji wa mchele na pumba unaendelea kujipambanua, tutawaona wengi.

    ReplyDelete
  2. njaa tu hiyo anatangatanga

    ReplyDelete
  3. Mdau wa 1 na wa 2 juu:

    Jamaa ametumia akili sana, meona Chadema kwishneyy huyoooo maeamua kula kona kabla Chama hakija kula mweleka!

    Hivi 2013 Uraisi wenyewe bado NDIO GOMBANIA GOLI NA SAKA NYOKA NAMNA ILE NDANI YA CHAMA !, je ifike 2015 si ndio Chama kitakufa rasmi?

    ReplyDelete
  4. Huyo aliyekuwa Katibu Mkuu Chadema aliyehamia CCM ni Bonge la JINIAZI!

    NI wazi amegundua akaona awahi chake mapema kabla Mwembe ulioliwa na mchwa kwenye shina lake (Chadema) haujaanguka !

    ReplyDelete
  5. Wadau juu 1 na 2 jamaa ametumia akili sana kwa Uamuzi wake!

    Hivi hamuoni jinsi Chadema inavyo kwenda hali jojo?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...