Home
Unlabelled
KIJIWE CHA UGHAIBUNI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Imechangamka sana na mmekutana haswa leo! Ilikuwa nzuri kwa kuwa ni birthday ya mwenzenu! Ila mlitaka kuchemsha issue za mheshimiwa,umri wa dada heri mliachana na hiyo topic. Mihuri salamander oyeeeeeeee Yasini! Ofisi hewa barabarani.
ReplyDelete
ReplyDeleteHAhahahhahaaaaa duh hiki sasa ndio kijiwe cha ukweli maana kijiweni sio kila siku unaongea point siku zingine unaongea mchapo na mikasa katika life big up waanzilishi Jongo, Yasin na Benja.
Pamoja nsana
Mdau Sweden
Yasini mwambie benja ulikuwa fundi umeme mzuri sana Enzi ya Bahama mama Kimara.
ReplyDeleteYasini hakuwa fundi umeme alikuwa kijiweni salamander ila alikuwa mtu wa kujirusha hiyo mitaa ya bahama mama
ReplyDelete