Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Vijana kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni, na
Michezo Bwana Leornad Thadeo akizungumza na Wanahabari (Hawapo Pichani) kuhusu Kongamano la
Wanawake Viongozi wa Michezo wa Afrika litakalofanyika 16-17/2013 jijini Dar es Salaam wa kwanza
kulia ni Meneja wa kinywaji cha Grand Malt Bi Consolata Adam. Picha na Benjamin Sawe wa WHVUM.
Home
Unlabelled
KONGAMANO LA WANAWAKE VIONGOZI WA MICHEZO WA AFRIKA KUFANYIKA JIJINI DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...