Marehemu Mwalimu 
Theresia Peter Chuwa

Mpendwa Mama, ni miaka kumi sasa tangu ulipotangulia mbinguni. Unakumbukwa sana na baba yetu (Mzee Peter Sambua Chuwa), watoto wako: Magda, Kalista (Salma), Revocatus (Babu), Ludo, Anna, Crese, Leonia na Willy. Pia unakumbukwa na wajukuu zako; Sia, Doreen, Linda, Juma, Teddy, Imani (Peter), Tumaini, Pendo, Wema, Imani mkubwa, Jackie, Seba, Sia mdogo, Amani, Imma wa Inno, na Kalista wa Willy. Vitukuu wako wawili; Caren na Cathy (Rose). Na mwisho, "mwali" wako mpendwa, Mama Teddy.
Mama tumeendelea kuona na kuishi "nguvu za sala" zako, upendo wako wa dhati, huruma yako na uchaji mungu wako. Tulikupenda na tunakupenda sana mama. Tunajua uko mbinguni na tunaendelea kufuata miongozo yako katika kila tufanyalo. Asante sana mama.
                     Imetolewa na: 
Familiya ya Mzee Peter Sambua Chuwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...