Makamu wa Rais (TBF) Phares Magesa kushoto akirudisha fomu za kugombea uongozi wa TBF leo katika ofisi za baraza la michezo la Taifa (BMT), anayepokea fomu ni afisa mwandamizi wa michezo wa BMT, Ndg. Magesa anagombea nafasi ya Rais wa shirikisho la mpira wa Kikapu (TBF).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. nadhani ulimaanisha "kugombea" uongozi na siyo "kuombea" (anyway) hata kuombea pia iko vizuri....si anaomba uongozi bwana ili kugombea iko vizuri zaidi!

    ReplyDelete
  2. nafasi zingine muachie wengine, mtu mmoja nafasi nyingi za utendaji bila shaka hutapafom vizuri.
    mtu mmoja:
    1:ukurugenzi TANZANIA PORT AUTHORITY(TPA.
    2:MNEC(CCM)
    3:TFB
    4:TANZANIA PROFESSIONAL

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...