Baadhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mzimuni wakiimba nyimbo za mataifa ya Tanzania na Korea Kusini wakati wa sherehe za uzinduzi wa maktaba katika shule hiyo huko Magomeni katika wilaya ya Kinondoni
 Baadhi ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Msingi Mzimuni nao wakishiriki katika sherehe ya uzinduzi wa maktaba ya shule hiyo.
 Walimu ya Shule ya Msingi ya Mzimuni nao waliungana na wanafunzi wa shule hiyo kusherehekea uzinduzi wa maktaba ya shule uliofanywa na Mama Salma Kikwete 
 Mama Salma Kikwete akiwahutubia wanafunzi na walimu wa shule ya Msingi Mzimuni pamoja na wananchi wa eneo hili wakati wa sherehe za uzinduzi wa Maktaba ya shule hiyo 
 Mama Salma Kikwete akikata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa maktaba ya Shule ya Msingi ya Mzimuni iliyoko Magomeni. Kushoto kwa Mama Salma ni Mheshimiwa Balozi Young-Shim Dho, Mwanzilishi wa Step Foundation na Balozi wa Mradi wa Utalii endelevu kwa ajili ya kuondoa umasikini wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Utalii Duniani ambaye ndiye aliyefadhili maktaba hiyo.
 Mama Salma Kikwete akiwafuatilia kwa karibu baaqdhi ya wanafunzi wa shule ya Msingi Mzimuni waliokuwa wakitumia maktaba hiyo mara tu baaba ya kuizindua rasmi hapo
PICHA NA JOHN LUKUWI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...