Mchekeshaji Eric Omondi toka Kenya akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mchana huu tayari kuvunja mbavu wadau kwenye onesho la kufunga mwaka la Vuvuzela Entertainment linaloanza saa moja leo hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam
Mchekeshaji Evans Bukuku akimpokea Eric Omondi toka Kenya alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mchana huu tayari kuvunja mbavu wadau kwenye onesho la kufunga mwaka la Vuvuzela Entertainment linaloanza saa moja leo hoteli ya Golden Tulip jijini Dar es salaam
Evans: Dah! Jamaa kumbe shotiiii
Eric: Dah!v Madhee kumbe mtoliiii
Wakila pozi kabla ya kukwea Bajaji kuelekea Uchumi Supermarket iliyoko Quality Centre kununua makubazi maana alisahau kubeba


.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...