Afisa
Mawasiliano, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Felix Mwagara (kulia) na mai waifu wake Lydia Mbonde baada ya kulamba Nondozzzz za Uzamili ya MSc/HRM mara baada ya
kutunukiwa kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee ya Chuo Kikuu cha Mzumbe – Kampasi
ya Dar es Salaam.
Afisa
Mawasiliano, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Felix Mwagara na mai waifu wake Lydia
Mbonde wakipokea zawadi mara baada ya kula Nondozzz ya Uzamili ya MSc/HRM katika Ukumbi wa
Diamond Jubilee ya Chuo Kikuu cha Mzumbe – Kampasi ya Dar es Salaam.
Afisa
Mawasiliano, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Felix Mwagara na mai waifu wake Lydia
Mbonde wakiwa katika picha ya pamoja na ndugu zao mara baada ya kulamba Nondozzz za Uzamili ya MSc/HRM katika Ukumbi wa
Diamond Jubilee ya Chuo Kikuu cha Mzumbe – Kampasi ya Dar es Salaam.


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...