Kikundi cha Nahodha Benedicto Chamba kutoka Mara wakishangilia na Kikombe mara baada ya kutwaa ubingwa wa mashindano ya mbio za mitumbwi upande wa Wanaume, zilizofanyika jana katika ufukwe wa Mwaloni jijini Mwanza kwa udhamini wa bia ya Balimi Extra Lager.Wa pili kulia ni Meya wa Manispaa ya jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula na Meneja mauzo na Usambazaji waTBL, Kanda ya Ziwa, Malaki Sitaki.
Meya wa Manispaa ya jiji la Mwanza, Stanslaus Mabula(kulia) akimkabidhi nahodha,Benedicto Chamba kitita cha fedha taslimu Shilingi 2700,000/= mara baada ya kuibuka mabingwa upande wa Wanaume, katika fainali za mashindano yam bio za mitumbwi kanda ya ziwa jana katika ufukwe wa Mwaloni Mwanza.Mashindano hayo yalidhaminiwa na bia ya Balimi Extra Lager.Kushoto ni Meneja mauzo na Usambazaji waTBL, Kanda ya Ziwa, Malaki Sitaki.
Picha ya pamoja ya kikundi cha nahodha Regina Kazungu kutoka jijini Mwanza wakiwa na kikombe mara baada ya kutwaa ubingwa wa mbio za mitumbwi upande wa wWanawake zinazodhaminiwa na bia ya Balimi Extra Lager Kanda ya ziwa.


Mara oyeeeeee!!
ReplyDeleteHongera sana akina Chacha na Marwa kwa Kushinda !
ReplyDeleteLakini hilo bunda la Noti Tsh. 2.7 Mil. mlizopewa na Mstahiki Meya Stanslaus Mabula mzitumie vema kwa Maendeleo kama ni anasa BANGI NA GONGO kwa Mkoa wa Mara vinapatikana bureee mtakapo wasili nyumbani na Ushindi mtapewa!!!
Hureeee!
ReplyDeleteAmang'ana bruuuuuuuuu !
Hureeee!
ReplyDeleteAmang'ana bruuuuuuuuu !
Eheee!
ReplyDeleteWakurya kwa mazishi?
Timu nzima mumuweke mtu kati Nahodha wenu aliyepokea Fedha za Uhsindi Shs. 2,700,000/= ,,,asije akaruka katika maji ya Ziwa akapiga makasia na Ngalawa lake kukumbilia Musoma akawaaacha bila kuendesha Mgawo wa pesa!