Mwimbaji wa nyimbo za Injili Milka Kakete kutoka Canada alipotembelea idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika akiwa Sunday Shomari na mkuu wa idhaa hiyo Mwamoyo Hamza mwishoni mwa juma.
Milka Kakete na mume wake Bw.Kakete na mkuu wa idhaa ya Kiswahili Mwamoyo Hamza ndani ya studioz alipofanya ziara na mahojiano na idhaa hiyo mwishoni mwa juma. Mwanamuziki huyo alitembelea jijini Washington Dc kwa tamasha maalum la X-Mass katika kanisa la Bethel Kingdom.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...