Ngoma ya 'Love Come Down' ya Evelyn Champagne King ilitamba
Home
Unlabelled
Ngoma azipendazo ankal
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ohhh ilikuwa ni December 1983 miaka 30 iliyopita ndio KWA SISI TULIO CHEZA MADISCO MIAKA MINGI ILIYOPITA tulicheza hii ''Love come down ya Evelyne King''!!!
ReplyDeleteNi miezi kama hii ya mwisho wa mwaka Disemba lakini ni Miaka 30 iliyopita!
Miaka hiyo ukiwa na Shs.30,000/= ohhh wewe ni Bilionea !
Ukiwa na Laki ohhh ndio balaa wewe ni Trilionea!!!
Ohhh nyie Kizazi Kipya hamkufaidi, hivi zamani kulikuwa kuzurije?
Dahhh Madisco tulicheza sisi wa zamani !!!
ReplyDeleteOhhh hii kete tamu sana nime I replay mara kadhaa hivi!
Angalieni baby face hilo la Evelyne King haina Mkorogo wala nini!
ReplyDeleteHivyo ndio tulivyokuwa Ma-handsome na Ma-beauty wa siku zile, hakukuwa na Michina Michina yenu kibao kama siku hizi!
Inafikia ukitaka kuchagua Mchumba ama Brazameni umuibukie kwa kumuotea kabla hajanawa uso na kukaa kwenye kioo,,,kila mtu mzuri hakuna mbaya ati?,,,afadhali kipindi cha Hayati Dr. Remi Ongala yeye alijitolea kuwa mbaya !
KHAAA!!
KILA KITU MCHINA, KILA KITU MCHINA!
Hadi kucha, kope, makalio na nyusi MCHINA?
Ujio wa bidhaa za Mchina siku hizi hakuna mbaya!
ReplyDeleteLabda umshitukize mtu alfajiri akitoka kitandani ndio utamjua uzuri wake halisi!