Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Tanga Bi. Monica Kalani akitoa nasaha kwa washiriki wa
mafunzo ya uandaaji wa vipindi vya elimu kwa umma yaliyoendeshwa na TBC kwa kushirikiana
na Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya akitoa maelezo ya awali wakati wa
ufungaji wa mafunzo hayo.
Mkurugenzi wa Huduma za Radio katika Shirika la Utangazaji Tanzania Suzan Mungy akielezea
namna mafunzo yalivyoendeshwa kwa washiriki hao.
Sehemu ya washiriki wakifuatilia hotuba ya ufungaji wa mafunzo hayo.
Mmoja wa washiriki kutoka kitengo cha Damu Salama Bw. Rajab Mwenda kipokea cheti cha
kushiriki mafunzo ya uaandaji wa vipindi vya elimu kwa umma.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...