Home
Unlabelled
OFA KABAMBE YA XMAS NA MWAKA MPYA, KWENDA KUTALII MANYARA NA NGORONGORO, NA KUPUMZIKA KATIKA HOTELI YA KITALII GANAKO LUXURY LODGE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ankal nina ombi/wazo moja dogo.Wewe hutaki habari zako ziwe 'copied'-Sawa kabisa.Lakini nadhani kuna haja ya kuliangalia na kulifanyia kazi hili- kama kuna tangazo limewekwa website/email hivi viruhusiwe kuwa 'copied' ili kurahisisha na kuokoa muda wa kuanza kuandika upya email/website address.Ongea na timu yako wa IT inawezekana.
ReplyDeleteDavid V
Wizi mwingine bwana! eti iwe copied! Hadanganyiki Michuzi. kafungue blog yako basi. Kila mtu ana utaratibu wake kwa hiyo usimlazimishe afanye unachotaka wewe. Siku njema.
ReplyDeleteHii ni luxury kweli kweli waliojipanga sawa sawa nendeni mkafurahie maisha yenyewe ndiyo haya haya.
ReplyDeleteWewe mdau namba mbili asnate.Laskini nadhani haukunielewa pointi yangu au nimeileta vibaya.Angalia hizo namba zenye skype, hapa zimekaa vizuri yaani badala ya kwenda kuziandika upya kwenye skype napiga moja kwa moja,na-doubleclick tu.Kwa hiyo hata hiyo website ukisogeza pointer ya mouse upate kiganja cha mkono ili ukidoubleclick website ifunguke(Hii inatumika sehemu nyingi).Lilikuwa wazo tu ingawa umemjibia Ankal NUKTA
ReplyDeleteDavid V