Meza kuu ikisikiliza kwa makini wajumbe wa Mzizima branch wakijitambulisha kwa Bw.George Nangale wakati wa mkutano wa wanachama wa Tawi la Red Cross la Mzizima jijini Dar es salaam
 Mwenyekiti wa Tawi la Mzizimabranch Dr.Suphian Juma akimtambulisha Raisi wa Redcross Taifa Bw.George Nangale katika mkutano
 Raisi wa TRCS, pia ni mlezi wa Mzizima branch Bw.George Nangale aliyevaa shati leusi alipowasili i katika viwanja vya Mzizima branch kwa kuanza mkutano na wanachama 
Vijana wa Redcross Tanzania waliofuzu mafunzo ya kutoa elimu katika jamii,wakiwa katika picha ya pamoja na Miss Maria from Crescent Societies wa kulia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...