Bendi maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya Ngoma Africa band aka FFU Ughaibuni inawatakia Merry Christ-Mass na heri ya mwaka mpya 2014,wadau wote popote pale duniani.
Msikose kufurahia Christ-mass kwa kusikiliza muziki at www.ngoma-africa.com
Home
Unlabelled
Salamu za Krismas kutoka Ngoma Africa Band
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...