Sensei Rumadha Fundi akiwaburudisha wa Tanzania na balozi wao nchini Marekani Mama Mulamula katika kusheherekea miaka 52 ya uhuru wa Tanzania jijini Dallas, Texas
Sensei Rumadha akielezea nini maana ya sanaa ya kujilinda (karate) waTanzania na balozi wao nchini Marekani Mama Liberata Mulamula katika kusheherekea miaka 52 ya uhuru wa Tanzania jijini Dallas, Texas
Sensei Rumadha akicheza moja ya kata za Goju Ryu Karate
Baadhi ya wadau waliohudhuria sherehe hizo
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe Liberata Mulamula akiwa meza kuu na viongozi waaalikwa wakimuangalia Sensei Rumadha akifanya vitu vyake kwenye sherehe hizo
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...