Home
Unlabelled
Taarifa kutoka mamlaka ya hali ya hewa: Upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa vinatarajiwa katika maeneo yote ya ukanda wa pwani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Waenda Beach Krismasi na Mwaka Mpya HABARI NDIYO HIYO!
ReplyDeleteNafikiri tatizo letu Watanzania ni ile 'Mentality' mbovu ya kutozingatia na kufuatilia Habari.
Katika Kaya zetu majumbani tabia ni kukuta Televisheni/Runinga kutwa zinafunguliwa Sinema na Michezo ya Komedi huku usomaji ni wa Magaqzeti ya Udaku na huku Vipindi vya Taarifa ktk Runinga zetu muhimu hazizingatiwi.
Sio baadae maafa yakitokea mnalaumu wakati Taarifa za awali na mapema ndio hizo Mamlaka zinatoa kwetu!!!
Mimi ni mzee,mstaafu,msomi wa 60's.Migandamizo na mapepo kwangu sio tija kama hujanambia habari ya mnyesho wa mvua ya kina ili ijaze kisima changu.Tangu niwepo Ilala,miaka takriban 30;Nuwa hatuijui.Kwa wabishi waishio mabondeni,wacha "wafu wazike wafu wenzao"...maana watatupunguzia machungu...Hii ni Tz iliokata tama!
ReplyDeleteWe mzee vipi NUWA haipo siku nyingi.... Siku hizi kuna dawasco. Hahahaaa umenifurahisha sana. Asante TMA message tKtn
ReplyDelete