Mheshimiwa
Jaji Mkuu Mstaafu Barnabas Samatta anasikitika kutangaza kifo cha mtoto wake
mpendwa Jane Samatta kilichotokea tarehe 09/12/2013 katika Hospital ya TMJ.
Mazishi
yatafanyika Alhamisi tarehe 12/12/2013 saa 10 Alasiri katika Makaburi ya
Kinondoni.
Ikitanguliwa na Misa itayofanyika katika
kanisa la Anglican St. Albano.
Bwana alitoa
Bwana ametwaa.
Jina la Bwana lihimidiwe.
Amina.



it is so hard to believe that ur gone aunty jane we will always miss,pole sana talu sandra nkunde na wengine wote
ReplyDeleteRIP dada Jane. Mungu awape nguvu na kuwazidishia imani wafiwa katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeletePolen sana kwa msiba. Mungu awape katika kipindi hiki kigumu
ReplyDeleteAmen
Mungu awatie Nguvu katika kipindi hiki, poleni sana 1 Wathesalonike 4:13-18
ReplyDeleteduh class mate oyster-bay primary school. upumzike kwa amani
ReplyDeleteRIP Jane,poleni sana wafiwa,mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu.
ReplyDeleteHuu ni mtihani mkubwa sana familia ya Mzee Samatta inapata. Nakumbuka kama Mzee Mangula, mzee wetu Samatta alipoteza mtoto katika miezi ya karibuni tu. Mola awape nguvu na subiraa katika mitihani hii na amlaze marehemu dada yetu pema peponi.
ReplyDeleteChe
RIP Jane, poleni sana familia, nakumbuka upole wako, ucheshi wako tulipokua wote Makutupora
ReplyDeleteRoom mate wangu jamani. Duh poleni sana familia ya Mzee Samata. Will always remember u kwa upole wako ucheshi. RIP Jane.
ReplyDeleteI am crushed. .I will miss you sis.
ReplyDeleteduuuuuuuuuu RIP Jane
ReplyDeletePOLENI SANA FAMILIA YA SAMATA, MUNGU AWATIE NGUVU RIP JEAN.
ReplyDeleteNAKUMBUKA ENZI HIZO TABORA.
nilivyokufahamu chuo cha uhazili tabora, Nasaco. rest in piece jane. Mungu akuweke mahali pema peponi & awape subira baba na mama samatta
ReplyDeleterest in piece jane
ReplyDeleteREST IN PIECE JANE. PST IB UHAZILI TABORA
ReplyDeleteCousin Jane umeacha simanzi kubwa kwa familia yote hasa kwa baba na mama yako, wanao Sandra na Alex, wadogo zako Doris na Dr Talu. You were such a wonderful person full of life and hapiness, you are deeply missed, Rest in Peace dear cousin Jane.
ReplyDeleteYou have gone too soon sis..
ReplyDeleteYou will always be here with us
You will always be in our lives
You will always be in our hearts