Washiriki wa Warsha ya siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa kunusuru Kaya Maskini kwa wahariri na waandishi wa habari wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TASAF Ladislaus Mwamanga (wa tatu toka kushoto waliyokaa).
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF Bw. Ladislaus Mwamanga akifungua Warsha ya siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa kunusuru Kaya Maskini kwa wahariri na waandishi wa habari (hawapo pichani) inayofanyika katika Hoteli ya Oceanic Bay & Resort mjini Bagamoyo.
Mwenyekiti
wa siku ya kwanza ya warsha ya kujenga uelewa wa mpango wa kunusuru
Kaya Maskini kwa wahariri na waandishi wa habari ambaye ni Mhariri wa
Channel Ten Ester Zelamula (katikati aliyeshika mic) akifafanua jambo
kwa washirki (hawapo pichani), wa kwanza kushoto kwake ni Mkurugenzi
Mkuu wa TASAF Ladislaus Mwamanga na wengine ni wakurugenzi wa idara
mbalimbali wa TASAF.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa uratibu Bw. Alphonce
Kyariga, Mkurugenzi wa Ukaguzi Christopher Sanga na Kaimu Mkurugenzi wa
Kujenga Uwezo Fariji Mishael wakifuatilia kwa makini uwasilishwaji wa
mada katika warsha ya kuwajengea ufahamu wanahabari.
Baadhi
ya washiriki wa Warsha ya siku mbili ya kujenga uelewa wa mpango wa
kunusuru Kaya Maskini kwa wahariri na waandishi wa habari wakifuatilia
uwasilishwaji wa mada mbali mbali katika hoteli ya Oceanic Bay &
Resort Mjini Bagamoyo.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...