Hello Ankal
Juzi  nilibahatika kutembelea ndugu zetu  Wachagga  huko Moshi vijijini na kufanikiwa kudaka hio taswira mwanana migombani. Kama inafaa na kuna nafasi kwenye blog, naomba uipost  wakati huu ambapo wengi tunajiandaa kwenda vijijini kusherehekea sikukuu za mwisho wa mwaka!
Mdau David V

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwetu pazuri jamani...

    By Kimambo

    ReplyDelete
  2. Kiongozi David V.

    Hongera sana kwa Uenezi ulioufanya hasa kwa kulinasa hilo Lori lenye Lumbesa ya mazao hivi!

    Ni kuwa kwa Mchagga wa Kijijini anayemiliki hiyo 'Toyota Stout Old model' hata umpelekee Range Rover VOGUE ama Toyota VX-8 mbadilishane kamwe hawezi kukubali!

    ReplyDelete
  3. Asante sana kwa kutukumbusha nyumbani. Mandhari nzuri sana. Hiyo gari iliyobeba majani ya ngombe wa nyama ya X-mas.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...