Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu ya Huawei wakiwa katika picha ya pamoja huku wakiwa wameshika baadhi ya simu zinazouzwa na kampuni hiyo katika Tamasha linalofanyika katika fukwe za Coco jijini Dar. Simu ambazo zinauzwa katika Tamasha hilo ni pamoja na Huawei Y210D, inayouzwa kwa Tsh. 162,000, Huawei W1 inayouzwa kwa 360,000, Huawei G510, 350,000 , Huawei Ascend W1 360,000, Simu nyingine zenye ofa ya GB 5 za internet ni Huawei Ascend P6 inayouzwa 800,000 na Huawei Ascend Mate kwa shilingi 900,000.
Msanii chipukizi wa Muziki wa Kizazi kipya, Bariki Makombe aka Black B akitoa burdani kwa mashabiki wa muziki huo waliojitokeza katika fukwe za Coco jijini Dar es Salaam. Vodacom na Huawei watatoa burudani kwa wakazi wa dar kwa siku mbili za tarehe 25 na 26 pamoja na kuuza simu na bidhaa nyingine.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. You vodacom!! Jina lenu ni kubwa lakini kwa nini si wasikivu? Mimi ni mmoja wa wafanyabiashara hapa maeneo ya Mabibo hostel na Riverside. Tumekuwa tukiwalalamikia kila mara kwa bad voice and data quality lakini hamtutatulii matatizo yetu. Mnatukwamisha na kutupotezea wateja. Tunawaombeni mfanye test kati ya eneo la mabibo hostel na riverside labda mtatuelewa.kwa nini tuwabembeleze kila mwaka??For sure there is alot of option which we can go for if you continue not to listen! Enough is enough aaargh!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...