Bwana Harusi Erick 'Msengii’ Natianota akimlisha keki mke wake kipenzi Herieth Kashangaki wakati wa tafrija ya kumeremeta kwao siku waliyoamua kuachana na ukapela mwishoni mwa wiki.
Baba mzazi wa Bwana harusi Mzee Shanta Natianota,akiongea machache kwa wanae Erick na Herieth.


Hongera Erick. Tunakutakia maisha mema wewe na mke wako Mungu awajalie.
ReplyDeleteOh happy day!!! Look at that proudly face of the father of the groom. Proud parents, mother of the groom is just listening and smiling#Beautiful
ReplyDelete