Balozi wa Tanzania nchini China Mhe Abdulrahman Shimbo akizungumza na wanafunzi pamoja na wanajumuiya ya Watanzania walio Beijing na Tianjin walipojumuika katika ubalozi wa Tanzania jijini Beijing kwa sherehe hizo
Jumuiya ya Wanafunzi wa Beijing na Tianjin wakizungumza na Balozi Abdulrahman Shimbo katika ubalozi wa Tanzania jijini Beijing walipokutanika Kusheherekea sikukuu ya Uhuru maarufu kama 9 Desemba.
Wasaka Nondozzz huko Beijing, China, Kutoka kushoto ni wadau Liberata Rushaigo, Fatuma Matulanga, Suleima Serera, Moses Mwangende na Khamis Said.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...