Hii ni nembo ya kituo hiki iyonacho sadifu mazingira harisi ya watoto wanolelewa mahari hapa.
Remidius M. Emmanuel (Rais wa Serikali ya wanafunzi CBE ya Dodoma) akikabidhi zawadi hizi kwa mlezi wa kituo hiki zilizopokelewa na mtoto katika kituo cha Watoto Yatimu cha Miyuji jana tarehe 24/12/2013 mnamo saa tano asubuhi, akitoa pongezi kwa Mlezi wa kituo hicho Sister Glory Shayo kwa kulea watoto hawa. Rais aliwasilisha baadhi ya vitu kwaajili ya watoto hao.Vitu vilivyotolewa ni Mchele kilo 50, Ngano kilo 50, Mafuta kula lita 20, Mafuta ya kujipata dazan 1 na Maji carton 2.
Mlezi wa kituo hicho Sister Glory Shayo akipoke ndoo mbili za mafuta ya kula.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...