HABARI NJEMA KWA WAIMBAJI
CHIPUKIZI WA MUZIKI
WA INJILI
TANZANIA.
Wewe ni kijana wa
kikristo uliye okoka ?
Una karama ya
uimbaji ?
Unataka kumtumikia na
kumtangaza Mungu kwa
njia ya uimbaji
?
Kama jibu ni
ndio basi hii
ni habari njema
sana kwako.
Huduma Ya UPENDO
& FURAHA ya jijini
Dar Es salaam, inatafuta vijana
wa kikristo walio
okoka, kwa ajili ya kuanzisha huduma ya
muziki wa injili
itakayo kuwa ikihudumu
katika mikoa mbalimbali ya
Tanzania na katika
nchi jirani.
SIFA ZA WATU WANAO HITAJIKA :
i.
Awe na karama
ya uimbaji
ii.
Awe na Umri wa kuanzia
miaka 16 hadi
35.
iii.
Awe
ameokoka na mwenye
hofu kuu ya
Mungu.
iv.
Awe na wito wa
kweli wa
kumtangaza na kumtumikia
Mungu kwa njia
ya uimbaji.
v.
Awe na utayari , pamoja na muda
wa kutosha wa
kusafiri na huduma
katika mikoa mbalimbali
ya Tanzania pamoja
na nchi jirani.
vi.
Awe mkazi wa
Dar Es salaam .
USAILI utafanyika siku
ya tarehe 06
January 2013.
MWISHO wa kujiandikisha
ni tarehe 24
Desemba 2013.
Kujiandikisha, fika
moja kwa moja ofisini
kwetu, siku za kazi kuanzia saa
tatu kamili asubuhi hadi
saa kumi kamili
jioni, au wasiliana nasi
kwa SIMU 0784406508
Usahili tarehe 06 Jan 2013?
ReplyDelete