....it's X-MAS REGGAE BEACH  PARTY..at One LOVE Lounge-ngonda BEACH-kigamboni....live REGGAE  performance by JHIKO MAN & afrikabisa band..also non stop reggae mixing by top REGGAE DJs..lot's of beach games & kids program...ALL on Christmas day-25 -DEC.. ALL from morning till late night....never miss dis...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Ruggae Beach Party:

    Tuienzi Reggae kama Sanaa ikiwa kama Utamaduni wa Afrika,

    Tuienzi Reggae kwa njia zinazo kubalika kama tutavyo muenzi Hayati Nelson Mandela!

    Tuienzi Reggae kwa Mtazamo wa halali na kwa kigezo cha Falsafa ya Marley na Harakati zake!

    Isipokuwa tusiienzi Raggae na Harakati za Wanafalsafa wetu hapo juu waliotangulia mbele za haki kwa njia ya Msokoto wa Bangi!!!

    Marasta wote na Jamii yetu nawatakiwa Krismasi njema!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...