Kipre Tchetche akimtoka beki wa Rhino Rangers, Laban Kambole katika mchezo wa Ligi nKuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo mkwenye Uwanja wa Chamazi. Azam imeshinda 1-0.
Kipre Tchetche akipiga mpira uliozaa bao pekee la timu hiyo.
Mshambuliaji wa Azam FC, Kone Mohamed (katikati), akiwania mpira huku akizongwa na beki wa Rhino Rangers.
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre TcheTche akimiliki mpira huku
akizongwa na beki wa timu ya Rhino Rangers, Julius Masunga katika mchezo wa
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar
es Salaam jana. Azama ilishinda 1-0.
Kipre Tchetche akimshukuru Mungu baada ya kuifungia timu yake bao.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...