This is a 64 acre land with 25 acres of a beach plot >(facing the sea) in Bagamoyo.
The following are some of the potential elements that makes this land unique.
It less than 2 kilometers from the proposed construction site of the Bagamoyo port which would be the largest in East and Central Africa in the near future, handling numerous tons of cargo.
I would advice you to come and visit the place
Asking price is $4million
Joint Venture options are welcome.
Contacts
Email: jukwela4@yahoo.com
Phone: +255762560088
Bora tu fukwe zetu zisiuzwe kwa wageni (Wazungu), kama za huko Malindi-Lamu, Kenya!
ReplyDeletewewe umefikia wapi hiyo bei...?hata holywood haiuzwi bei hyo
ReplyDeleteMdau wa kwanza,
ReplyDeleteJambo la kushukuru ni LAND POLICY/ LAND ORDINANCE ya kuwa ''LAND REMAIN PROPERTY OF THE STATE WHO POSSES IT I A CLIENT FOR 33YRS DOMINANCE''
Hivyo hatupo kama Kenya ama Italy ambako ardhi ni mali yako kama shati lako!
Vivyo hivyo Mgeni yeyote ataitumia ardhi ya Tanzania kama Mpangaji!!!
Wauzaji wa vitu kama ardhi hizi kwa wanunuzi hasa Wageni wawe wanaweka wazi ya kuwa kwa Tanzania ardhi ni mali ya Umma!
ReplyDelete
ReplyDeleteUngeweka Mchoro wa Mipango Miji wa hili eneo seriously watu wange vutiwa kidogo kuangalia nini kinafaa kuwekwa
Hivi umbali wa kujenga toka baharini ni mita ngapi? naona hapo picha zote zinaonyesha chini ya mita 50 toka kwenye ufukwe.
ReplyDelete