DSC_0023
CEO wa Kampuni ya MeTL Group na Mbunge wa Jimbo la Singida mjini, Mh. Mohammed Dewji Balozi (kulia) akimsindikiza Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
DSC_0024
Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh. Liberata Mulamula, akifurahia jambo na Mh. Mohammed Dewji alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar.
DSC_0029
Mh. Mohammed Dewji akimtambulisha Mshauri wa miradi ya Kampuni ya MeTL Group, Bw. Sudi Mwanasala (kulia) kwa Balozi wa Tanzania nchini Marekani, Mh. Liberata Mulamula.
DSC_0035
Mh. Mohammed Dewji akibadilishana mawazo na Balozi Liberata Mulamula na Mshari wa Miradi ya Makampuni ya MeTL Group, Bw. Sudi Mwanasala.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. MeTL Mdau wa juu unauliza ama nini?

    Ni (M)ohamed (e)nterpises (T)anzania (L)imited bosi wake na Mmmiliki ni huyo kijana mdogo sana mwenye Suti na mawani hapo.

    Habari ndiyo hiyo !

    ReplyDelete
  2. Wabongo achene JILAZI toeni comment, ina maana toke Michuzi anatundika hewani habari hii jana comment ni moja tu tena ya kimikogo kabisa eti,,,(MeTL?)

    Nimeamini leo Wabongo tuna jilazi sana!

    Acheni Jilazi toeni maoni yanayo jenga mkiw na roho safi ili nanyi mfanikiwe kama Mo alivyofanikiwa na kutajwa ktk Forbes kuwa ni Bilionea Kijana hapa Afrika!

    Wewe unafikiri ukiwa na 'roho ya mkaa' ama 'roho ya kimba' kifuani Mwenyezi atakupa?

    Thubutu, Mwenyezi kamwe sio mjomba wetu ukiwa na roho mbaya na wewe Mwenyezi aliye na nguvu kubwa sana atakukwamisha!

    Tujifunze kuwa na roho nzuri kwa kupenda mafanikio ya wenzetu ili na sisi tubarikiwe.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...