Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Mbona serikali ina sita ktk hili la nishati ya sola maana hizi taarifa hazikuanza leo wala jana, kumbukumbu zinaonesha ni ktk vipindi vyote vya serikali zilizopita wazo hili halikupata sapoti toka serikalini yaani kama mradi wa kitaifa.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza, "solar energy" sio kwa walala hoi. Nyumba moja tu ya kawaida gharama zake si chini ya Tsh 10M. Hata za "Energy Saver" pia ni gharama kwa mlala hoi.

    ReplyDelete
  3. SERKALI ZA KIAFRIKA HAZIWAJALI WANANCHI WAKE KWA VITENDO KWANI VIONGOZI WANAOGOPA WAKIBORESHA MAISHA YA WANANCHI HAWATAKUWA NA AHADI ZA KUTOA WAKATI WA UCHAGUZI. HEBU JIULZE UKIWEZA KUWEKA UMEME JUA NYUMBANI KWAKO ILE AHADI YA TUTAWALETEA UMEME SI ITAKUWA IMEKUFA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...