Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Chuo kikuu mko nyuma maana mnafundisha office 2007 wakati sasa ipo 2013?
ReplyDeleteHayo ni majina tu; wewe mdau wa kwanza vipi?? Office 2007 mpaka 2013 hazitofautiani sana. Hakuna haja kila mwaka kuingia gharama ya kununua program mpya wakati iliyopo inatosha kumfundisha mwanafunzi. Mwanafunzi anapewa mbinu za kutumia program na si kumkaririsha. Maana hata ukimfundisha Microsoft Office 2013; baadaye itakuja 2014, 2015, nk. Muhimu ni umpe mbinu tu.
ReplyDeleteMimi siyo mdau wa UCC, lakini nimeona nikuelekeze mdau wa kwanza.
You Can't Teach an Old Dog New Tricks
ReplyDeleteHow about "You Can't Teach a New Dog Old Tricks."
ReplyDeleteMimi kwa upande wangu naona office 2007 na 2013 japo zinafunction zinazofanana lakini hazipo sawa. Na siwezi kutumia pesa yangu kwenda kusoma office 2007 kama kuna option ya kusoma 2013. Mdau wa pili kama unamaanisha hakuna option ya kupata office 2013 so kuliko kutoka kapa bora kusoma office 2007 iliyopo, hapo nakubaliana nawe.
Mimi ndo mdau wa PILI. Nilifundishwa 'office 1997'; lakini nimekuwa nikitumia program mpya kila inapoingia bila kufundishwa tena. Na kwa sasa natumia 'office 2013'. Muhimu ni mtu afundishe MBINU si kukaririshwa. Mtoto asiyejua 'multiplication' ukimwambia 2x7 = 14, lakini usimpe mbinu hiyo 14 inavyopatikana na usimwambie x inasimama badala ya nini, ni dhahiri hawezi kutoa jibu sahihi ukimwambie afanye two times seven. Maana hatajua hiyo 'x' ni sawa na times.
ReplyDeleteHizi program ziko hivyo hivyo; unakuta mpangilio wa 'Menu' ndo unabadilika. Function huwa zinaongezwa, lakini ni kwa kiwango kidogo. Pia mwanafunzi hawezi kuielewa program nzima kupitia darasani, hapo anapewa hints na mazoezi machache; kuelewa ataelewa kupitia 'matumizi'.
Mbali na yote, UCC wanatakiwa wa-move na technology, atleast office 2010 bac na mwishoni wagusie 2007/2013 versions ili mwanafunzi atoke akiwa anajiamini. Almost zote ziko sawa but file formats na interfaces zake ni tofauti from 2007 to 2013. So tangazo lao liwekwe vizuri kidogo ili liwe na maana ya inayovutia!
ReplyDelete