Huu ndio mwonekano wa Dampo hilo la kisasa kwa upande wa juu ambapo ujenzi upo katika hatua za mwishoni
Hili ni eneo ambapo magari yaliyobeba takataka yatakua yanaingia na kumwanga taka taka hizo
Mwonekano wa Karibu wa ndani wa Dampo hilo la kisasa Jijini Mbeya
Hii ni Chemba pekee ambayo ni maalum kwa ajili ya kupitishia takataka zenye kimiminika, pia kupitishia takataka ambazo zitakuwa zimesagwa na kupelekwa katika Bwawa maalum litakalo tumika kutengenezea umeme pamoja na mabaki mengine ya takataka yatatumika kutengenezea mbolea


je, dampo hili litatumika kama linvyokusudiwa au ndiyo mwanzo wa stori mpya? endapo litatumika kama inavyokusudiwa basi mbeya itakuwa imepiga hatua kubwa sana katika hifadhi ya mazngira.
ReplyDelete